MATOKEO DARASA LA SABA 2025 HAYA HAPA
Wanafunzi wa darasa la saba nchini Tanzania wamefanya mitihani yao ya taifa (PSLE) mwezi Septemba 2025, chini ya usimamizi wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Sasa wazazi, walimu na wanafunzi wengi wanajiuliza — matokeo yatatoka lini?
Kwa kawaida, matokeo ya darasa la saba hutangazwa kati ya wiki 6 hadi 8 baada ya mtihani kumalizika, hivyo kwa mwaka huu 2025 yanatarajiwa kutoka kati ya mwishoni mwa Oktoba hadi katikati ya Novemba 2025.
🔹 Jinsi ya Kuangalia Matokeo
Matokeo yatakapokuwa yametangazwa, unaweza kuyapata kwa urahisi kupitia:
-
🌐 Tovuti rasmi ya NECTA: https://www.necta.go.tz
-
📱 Kupitia tovuti yetu: https://www.jihudumieschool.com – tutakuwekea link ya moja kwa moja ya matokeo mara tu yatakapotoka.
-
💬 Kwa baadhi ya shule, matokeo pia huwekwa kwenye mbao za matangazo au tovuti za shule husika.
🔹 Mambo ya Kukumbuka
-
Hakikisha unajua namba ya mtihani (Candidate Number) ya mwanafunzi.
-
Matokeo yanaonyesha alama za kila somo, pamoja na nafasi ya ufaulu (A, B, C, D, E).
-
Wale watakaofaulu watapangiwa shule za sekondari za serikali, na majina yao yatatolewa kwenye orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2026.
📢 Usikose Taarifa Mpya!
Endelea kufuatilia JIHUDUMIESCHOOL.COM kwa taarifa sahihi na za haraka kuhusu:
-
Matokeo ya Darasa la Saba 2025
-
Orodha ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2026
-
Ratiba mpya za masomo na mitihani
Past Papers and notes za kila somo kuanzia primary hadi secondary, etc
🗓️ Kumbuka: Tutakupa link rasmi ya matokeo mara tu NECTA watakapotangaza rasmi.
📍Tembelea kila siku: www.jihudumieschool.com

